HUHITAJI LAINI MPYA KUJIUNGA NA AZAM PESA


Manake hapo kwanza nicheke! 😆

Huhitaji laini mpya kujiunga na AzamPesa! Vimba kwa kutumia namba yako ya Tigo, Airtel au Zantel. 
Jisajili leo kupitia wakala wa AzamPesa karibu yako ufurahie Huduma za Kifalme kwa Bei za Kizawa.
@officialbakhresagroup
@azampesa
#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa


Comments

  1. Samahani mimi niliunganishwa azam pesa ya uwakala mda kidogo umepita saivi nikijaribu kuingia inagoma sijui tatizo ni nini..?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE