CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BURUDANI YA KIBABE

 

MASHABIKI wakubashiri wa kampuni inayotamba ya LEONBET Tanzania walipata burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu na wachekeshaji maarufu nchini kwenye uzinduzi rasmi  wa kampuni hiyo uliopewa jina la CHEKA TU: LEONBET EDITION.
Burudani hiyo ya kisasa ilifanyika Novemba 8, 2024 kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki.
Mashabiki wa  vichekesho nchini walipata burudanikutoka kwa wakali wa Cheka Tuakiwemo Coy MzunguNdaroAsmaMtumishi Obama, na Chard Talent, ambaowalihakikisha kuwa kila aliyehudhuria anatabasamu nakufurahia uzinduzi huo.
Burudani zaidi zilifuatia kwa muziki wa moja kwa mojakutoka kwa wasanii wakubwa wa Tanzania, akiwemoMaua Sama na Jaivahambao walifanya tamasha kuwa la kukumbukwa kwa mashabiki wote.

Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET, Jérôme J. Dufourg (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki ambao uliopambwa na burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu ya wachekeshaji maarufu nchini uliopewa. Uzinduzi huo ulijulikana kwa jina la ‘CHEKA TU: LEONBET EDITION’. Kushoto ni meneja mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana

Katika tukio hiloMeneja Mkuu wa LEONBET TumainiMaligana pamoja  Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika kwa LEONBETJérôme J. Dufourg katikaburudani hiyo.
Viongozi hao wakuu wa LEONBET Tanzania waliwashukuru  mashabiki wote waliofika katika uzinduzihuo na kuwapa sapoti kubwa.
Maliganaalitoa shukrani za dhati kwa wote waliojitokezana kwa kuunga mkono uzinduzi wa brand yao
Ningependa kuchukua muda mfupi tu kuitambulishabrand yetu ya LEONBET - Simba La Mikeka. LEONBET ni kampuni ya michezo ya ubashiri iliyoingia rasmiTanzania ili kuambatanisha burudani ya kubashiri kwenyemichezo na slots na kutoa fursa ya kutengeneza pesa,” alisema,
Kwa upande wake, Dufourgakiwakilisha mtazamo wakimataifa wa LEONBETalisisitiza dhamira ya kampunihiyo ya kuleta uzoefu bora wa michezo ya kubashiri kwaTanzania.
Tunafuraha sana kuja Tanzania, tukijua kuwa tuna historia na uzoefu wa miaka 15 katika sekta hiina tunayodhamira ya kutoa huduma ya kiwango cha juu kwa watejawetuTunaleta si tu ubashiri bali burudani ya hali ya juukwa wateja wetu nchini Tanzania,” alisema Dufourg.
Dufourg aliendelea kueleza jinsi LEONBET inavyowekamsisitizo mkubwa kwenye huduma bora za wateja
Tunataka kuhakikisha kwamba mteja anafurahia uzoefuwake bila tatizo loloteKutoka kwa malipo ya harakatovuti yenye kasihadi bonasi nyingituko hapa ilikurahisisha na kuboresha kila sehemu ya uzoefu wakubeti na kucheza kasino,” aliongeza.
Maligana na Dufourg walifurahia kuwakilisha LEONBETkama sehemu ya mtindo wa maisha kwa wapenzi wamichezo na burudani
Maliganaalieleza kuwakwa kujiunga na LEONBET, wateja wanaweza kufurahia ofa mbalimbali mara tuwanapojisajili. “Tuna ofa kibao kwa ajili yako ukijiungana LEONBET. Ukijisajili tuunapokea ofa ya kipekee!” alisema kwa tabasamuakiwasihi washiriki kuchangamkiafursa hiyo.
Alisema kuwa uzinduzi wa LEONBET umeacha alamakubwa kwa mashabiki wa vichekesho na wapenzi wamichezo ya kubashiri nchini Tanzania, na kuthibitishakuwa LEONBET ni zaidi ya kubetini sehemu yaburudani na maisha kwa watanzania wote.


Meneja Mkuu wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET, Tumaini Maligana (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki ambao ulipambwa na burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu kutoka kwa wachekeshaji maarufu nchini. Uzinduzi huo uliopewa jina la “CHEKA TU: LEONBET EDITION. Kulia ni  Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya  LEONBET, Jérôme J. Dufourg.


Wachekeshaji maarufu wa “CHEKA TU”, Ndaro ambaye ni balozi wa LEONBET akiwa na Coy Mzungu wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni uliofanyika Novemba 8 kwenye  ukumbi wa Warehouse Masaki.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA